Kujitambua, kujitunza na Kujithamini; nguzo kuu ili mabinti wafikie ndoto zao
Watoto wa kike/mabinti wanakumbwa na changamoto mbalimbali katika mazingira tunayoishi, miongoni mwa changamoto hizo ni ukatili wa kijinsia, mimba zisizotarajiwa, ndoa za utotoni, kukosa mentors (walimu wa kuwaongoza) na mahusiano yasiyo sahihi. Endapo binti atakosa mwongozo sahihi anaweza kushindwa kutimiza ndoto zake au akatimiza chini ya kiwango alichotegemea. Wanafunzi wa shule ya Sekondari









